Naomba ushauri kuhusu Laptop bora ya kununua

Naomba ushauri kuhusu Laptop bora ya kununua

franklina

Senior Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
181
Reaction score
52
Wana janv nataka kununuwa laptop kwa matumiz ya kuandika email na ku woch move's tu kati ya uzi brand ipi nzuri dell,hp, na Toshiba satellite ni ipi nzuri yenye speed 2gb processa 500gb ni nzuri?kwa hayo matumiz Nina kilo tano.
 
Processor 500gb? bilashaka unamaanisha HDD, brand inategemea we unapendelea brand ipi, binafsi napenda HP mwonekano wake. Ila kwa mahitaji yako ukipata yenye processor 2ghz, ram 2gb, HDD 500 inatosha sana
 
Njoo nikuuzie hp 6730b Ram 4gb na 320gb HDD.
Inakutosha saaaanaaaaaa
 
Back
Top Bottom