Msaada wana jukwaa kuhusu Internet

Msaada wana jukwaa kuhusu Internet

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Sina hakika kama hii mada ilisha wekwa hapa jukwaani.
Naomba kufaahamishwa jinsi ya kutumia kifurushi kimoja cha internet kwa simu mbili au zaidi.
Yaani anajiunga mmoja bundle then kifurushi kitumike kwa simu zaidi ya moja.
Kwa alie nielewa karibu kwa msaada.
 
Mkiwa karibu ama mbali?

Kama ni karibu kifurushi chochote kinafaa then utamuekea hotspot mwenzako,

Kama ni mbali nafkiri airtel peke yake ndio ana hio aina ya bundle ya kifamilia
 
Tukiwa karibu mkuu.
Naomba ufafanuzi hapo kidogo chief...
 
Nilijaribu hilo zoezi la kuwasha hotspot na yeye pia anawasha lkn sasa nikashindwa namna ya kumuunganisha.
 
Tukiwa karibu mkuu.
Naomba ufafanuzi hapo kidogo chief...
Na assume unatumia android
Utaunga simu yako bundle halafu utaenda setting then more network then hotspot halafu iclick, utaona username na password eka hotspot on

Mwenzako nae aende setting halafu wifi then ataiona network yako ajaribu kuconect ataambiwa aeke password muangalizie then mpe hio password.

Hizo username na password unaweza kuzibadili ukaziweka ambazo ni rahisi kuzikumbuka
 
Ok chief thanks let me try again.
Na jumapili njema.
 
Nashukuru chief nime fanikiwa iko poa now ila nimetumia Es xplorer...
 
Mkuu nisaidie kwenye es explorer ku create connection.ahsanteh

Sawa mkuu kama unayo Es explorer na mwenzio pia anayo. Basi
Fuata hizi hatua.
1-Fungua es xplorer na mwenzio pia afungue es xplorer
2-bonyeza menu ya es explorer itategemea kwako ipo upande wa kulia au kushoto kulingana na simu.
Na mwenzio nae afanye hivyo hivyo
3-katika menu ya es xplorer tafuta neno network na mwenzio afanye hivyo hivyo.
4-fungua hilo neno network kisha teremka chini angalia neno net manager na mwenzio afanye hivyo hivyo.
5- fungua neno net manager kisha mwenye kifurushi cha mb yeye abonyeze create hotspot network.
Na mwenzio abonyeze join network. Kama inavyokuwa kwenye bluetooth sasa wakati mwenzio anajoin net work atachagua network yako kulingana na jina ulilojiandikisha akichagua ataulizwa passwaord na password inakuwa hapo hapo una msomea anaiandika kisha ana bonyeza neno conect.
6- done umemaliza.
Angalizo kabla ya yote haya nenda kwanza kwenye setting ya simu then hotspot angalia je umeiweka iwe on muda gani ili isisumbue kila mara i set always.
 
Angalizo jingine ni ktk es explorer kila unapo create network huwa inabadili user name na pass. Hivyo angalia chini pale utaona setting fungua hapo na uset use the system AP setting
 
Sawa mkuu kama unayo Es explorer na mwenzio pia anayo. Basi
Fuata hizi hatua.
1-Fungua es xplorer na mwenzio pia afungue es xplorer
2-bonyeza menu ya es explorer itategemea kwako ipo upande wa kulia au kushoto kulingana na simu.
Na mwenzio nae afanye hivyo hivyo
3-katika menu ya es xplorer tafuta neno network na mwenzio afanye hivyo hivyo.
4-fungua hilo neno network kisha teremka chini angalia neno net manager na mwenzio afanye hivyo hivyo.
5- fungua neno net manager kisha mwenye kifurushi cha mb yeye abonyeze create hotspot network.
Na mwenzio abonyeze join network. Kama inavyokuwa kwenye bluetooth sasa wakati mwenzio anajoin net work atachagua network yako kulingana na jina ulilojiandikisha akichagua ataulizwa passwaord na password inakuwa hapo hapo una msomea anaiandika kisha ana bonyeza neno conect.
6- done umemaliza.
Angalizo kabla ya yote haya nenda kwanza kwenye setting ya simu then hotspot angalia je umeiweka iwe on muda gani ili isisumbue kila mara i set always.

Nashukuru mkuu kwa maelezo yako.
 
Sawa mkuu natumaini nawe urafanikiwa pia.
 
Mkiwa karibu ama mbali?

Kama ni karibu kifurushi chochote kinafaa then utamuekea hotspot mwenzako,

Kama ni mbali nafkiri airtel peke yake ndio ana hio aina ya bundle ya kifamilia

Hiyo bundle ya Airtel ya kifamilia inapatikana kwa namna gani. Msaada tafadhali.
 
Nashukuru chief nime fanikiwa iko poa now ila nimetumia Es xplorer...

Hiyo Es xplorer ipo ktk simu za model ipi. Nataka kuitumia ila siioni ktk simu yangu,Samsung Mini Pocket.
 
Back
Top Bottom