Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba niwape somo la Cyber Crime na limitations zake. Hii sheria itafanya kazi kwenye mitandao lakini kumbukeni kwenye Whatssap itakuwa ngumu kwa sababu servers za whatssap hazipo Tz, zipo USA...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba msaada wenu katika kuistaill game nime weka data kama inavyo takiwa lakini game lina maliza kuji instaill na lina endelea kuload kwa mda mrefu bila kufunguka kama kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada jinsi ya kuedit email address mf ndama@gmail.com iwe ndamajiku@gmail.com nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
simu imegeuza maandishi yanatoka kulia kwenda kushoto simu ni tecno y3 file zote hata kupokea badala kutoka kulia kwenda kushoto sasa imekuwa kushoto kwenda kulia msaada tafadhari
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habary zenu ndugu zang kuna freand wangu anahitaj kufungua website km vile Facebook, Twitter nk. A naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Habari Wakuu. Nina Samsung Galaxy S4 yangu imedondoka na kudamage screen, haiwaki kabisa, ila LED zinawaka. Mwenye kufahamu fixing prices ya screen ni ngapi & suggestion za fundi. Shukrani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mara nyingi simu/computer huwa zinaingiza vitu (software) ambazo(vyo) huwa haviwi au haziwi za moja kwa moja (temporary application), lakini unaweza ukacheki na kuifanyia maintenance mara kwa mara...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jambo wadau, Ninataka nifungua ka school/chuo cha computer mtaani kwetu kwani nimeona hakuna mtaani na ina demand kubwa. Msaada wapi nitapata computers kwa bei nzuri?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Smartphone za bei poa ambazo kiutendaji(perfomancewise) hazina tofauti kubwa na simu za bei ghali zinauzwa madukani.zaidi specification ndio zilele za high end phones isipokuwa camera na screen...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Katika kuiona simu aliyoionyesha gwajima kuhusu sms ya dr. slaa nimeshangaa kwa mara ya kwanza kuliona jina lile kwa mimi niliyezoea kuona samsung na tecno inaitwa Docomo Fujitsu F-10D Arrows...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
watu wa madini nahitaji msaada wa kujua haya ni mawe gani au madini gani kuna sehem nimekumbana nayo yamefungwa vizur na kufichwa
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kama heading inavyosema, Naombeni msaada katika Blogg angu, tatizo ni kwamba, Nmetengeneza blog but nimekwama katika kuzipa link MENUS za blog angu za pale kwenye HEADER, Kama kuna mwenye utaalam...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
samahan sana waungwana kuna mistake zmefanyika
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa muda sasa str4922 imekuwa kiboko ya receiver maana ina kila unachokihitaji, sasa kwa sasa katika software iliyotoka kwa ajili ya receiver hizi utaweza kutazama chanel mbalimbali zenye movie...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
mko poa wadau,natumia asus X453M ila nilipoinunua waliniwekea Window 7 ila laptop yenyewe nilipoinunua nikapewa na cd yenye drive za Window 8.1 nna shida ya window 8.1 wakuu, naombeni msaada ili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Watalaam w IT hivi hii tecno H6 haiwezi ku updated.... Hii simu ina version 4.2.2 Hivi siwezi kupata kit kat kwenye hii simu.. kcamp Chief-Mkwawa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nchi ya Singapore karibu kila raia anamiliki simu ya kisasa ya mkononi, raia huko ni milioni sita pekee. Kwa sababu ya uraibu huu nchi imejenga kiliniki maalum ya kuwashugulikia walio na tatizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Leo naomba kwa wale wenye maswali kuhusu biashara ya radio watupie hapa tutakuwa nao pamoja. Mfano kuhusu:- - Vipindi - Vifaa - Gharama za kuansiah radio yako - Human Resource - Mitambo -...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Habarini wakuu Nina simu yangu Sony experia z3 yani ikiwa mfukoni huwa inajizima bila mimi kuzima halafu nikiiwasha haiwahi hadi niichaji ndo niwashe iwake. Pia nkisikiliza mziki na earphone huwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu,,, Nina laptop yangu aina ya Acer inatatizo la internal mouse (touch pad) hairespond. Hivyo nalazimika kutumia usb mouse..naomba msaada wenu jinsi ya kurekebisha hili.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom