Wakuu, natafuta game ya GTA 5 na flight simulation, aliyenae anijulishe kwa PM tuongee kibiashara.
ya kompyuta,ps3 au psp?
ya kompyuta,ps3 au psp?
Naunga mkonyo hoja! Sory mfupa hauna ulimi
Nami nalitafuta gem la gta vice city au iyo gta5. Tuchekiane bas km unalo
Flight simulation ni mwishooo...umenikumbusha bro
Wakuu, natafuta game ya GTA 5 na flight simulation, aliyenae anijulishe kwa PM tuongee kibiashara.