MSAADA TAFADHALI JAMANI KWA WATAALAM wa WEBDESIGN na BLOGGERs

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Kama heading inavyosema,
Naombeni msaada katika Blogg angu, tatizo ni kwamba,
Nmetengeneza blog but nimekwama katika kuzipa link MENUS za blog angu za pale kwenye HEADER,
Kama kuna mwenye utaalam juu ya hilo naombeni msaada on how to do this
blog yenyewe ni hii hapa MapereceAsante sana kwa ushirikiano wenu
 
Back
Top Bottom