Abby195 Senior Member Joined Aug 2, 2015 Posts 183 Reaction score 32 Sep 8, 2015 #1 Habari wana JF nna pc yng aina ya toshiba settelite haitoi boot option pale nnapoiwasha nikiminya f12 hakuna kinachobadili inawaka moja kwa moja FUNDI MWENYE SULUHISHO NA HILI NAOMBA ANISAIE
Habari wana JF nna pc yng aina ya toshiba settelite haitoi boot option pale nnapoiwasha nikiminya f12 hakuna kinachobadili inawaka moja kwa moja FUNDI MWENYE SULUHISHO NA HILI NAOMBA ANISAIE
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Sep 8, 2015 #2 wanya kisha press F2 ukaset hyo boot setting
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,671 Sep 8, 2015 #3 jaribu kuPress F2 or F10
bongompya JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 224 Reaction score 43 Sep 8, 2015 #4 Ikishindikana kwa mawazo ya wadau hapo juu,ifungue toa CMOS bettery then iludishe baada ya dk5,
Masuonline Senior Member Joined Jun 4, 2013 Posts 194 Reaction score 21 Sep 8, 2015 #5 Dell Latitude E6440 naweza kuipata kwa bei gani ndugu zangu kwa hapa dar.