Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari zenu wakuu sehemu nliyopo ni mbali kidogo hvyo nashindwa kujiunga na universy offer,kuna njia yyte ya kujiunga au kujisajili kwa njia ya mtandao? natumia Tigo nmechoka mb 8 karibuni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau kuna application ina Simu TV, appl hii inatikana sana kweny simu hizi smart phone kupitia Google Play Store. Ni application nzuri sana, sema nashindwa jinsi ya kupakua (kudownload) video...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habar wadau naomben in msaada.nmekuwa na tatizo kwenye pc yangu (acer i3, 4ram,500 hdd, win 8.1 64bit) baadhi ya mafile ya zaman ya local disk d: hayafunguki.picture.. video.. doc na vingine ila...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Habarini za usiku huu! Guys nimekuja hapa nina shida moja juu ya PC tajwa hapo juu. Leo niliweka Kaspesky internet Security na nikaiupdate vizuuri kabisa. Baada ya kumaliza nikaanza kuifanyia...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Kama maigizo sasa maana watanzania tunazidi kuumizwa na hii mitandao, sasa airtel wamepandisha vifurushi vyao vya internet, kiukweli wameniumiza hawa jamaa. Mimi nilizoea kununua cha wiki cha...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Heshima naomba kusaidiwa kujua wapi nitapata Modem za kushika signal za wireless internet kwa computer zisizoshika wireless internet nikipata na bei yake itakuwa vizuri zaidi natanguliza shukrani...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari ndugu wanajamvi. Nimekuja hapa nina shida moja. Mie nilianza kutumia smarthphones za Android kwa muda sasa but mwaka hana nilinunua Huawei W1 (Windows phone). Kwa kweli niliifurahia sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wazee nahitaji msaada wa file recovery kwa yeyote mwenye Link nitakaweza kudownload full package yoyote ya file recovery naomba msaada wake tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Habari wakuu? Nawezaje kurestore factory huawei maana option ya kupress power button na volume down haikubal. Thanks
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ndg zang wana jf, najua humu wataalamu wa maswala ya IT mmo, leo nilikua nafanya updation ya OS ya cm angu aina ya sony xperia j, baada ya kumaliza kufanya updation nkawa na install hyo update ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu.nina kingamuzi cha digitek tatizo ni baadhi ya chaneli mwanzoni zilikua zinaonyesha Ila kwa sasa hazionyeshi ie mlimani TV , clouds TV na tatizo kubwa linalosumbua kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hello! Msaada mwenye solution ya dic ,,naomba msaada , Asante
0 Reactions
1 Replies
993 Views
wadau naomba kuuliza hivi hii kampuni ya Simu ya viettel inaanza kazi lini!
0 Reactions
17 Replies
4K Views
habari wadau, kuna kampuni moja inaitwa si -electron ambayo inahusika na uuzaji wa computer used. malipo ya bidhaa zao wanafanya through western union na mzigo unakufikia kupitia DHL au Fedex...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu ! Nilikuwa naomba link ya upto date ya OGWhatsapp na application ya kudownload video facebook!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nina simu tajwa hapo juu inasoma 4g sasa huku niliko hakuna 4g ninaomba nifahamu jinsi ya kuifanyia setting ili isome 3g kwa sababu kila nikijaribu kuiseti haitoi matokeo
0 Reactions
1 Replies
833 Views
habari wana jf forum, naomba msahada wa ku-unloch huawei e173u-1
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wakuu na wadau wa Jukwaa hili. Natafuta simu aina ya HTC HD2 (Windows Phone) ambayo ni mbovu. Tafadhali kwa aliyenayo,au anayejua wapi naweza kuipata naomba tuwasiliane. Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
NAAMINI NI WENGI MLIFURAHIA ILE MAADA YA MWANZO YA KUFLASH HUAWEI E153.WALIONIPA EMAIL ZA UKWELI,NILIWASAIDIA KUWATUMIA... KAMA HUJAPATA,BASI TUENDELEE KUWASILIANA. ZIFUATAZO NI HATUA...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni app ya kuangalia TV channels live nyingi za kiafrica lakini namna ya kujiunga kifurushi chao hakiko wazi licha ya umuhimu wake hasa kwa tunaotaka habari tukiwa mbali na TV. Mtu mmoja humu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom