iCloud: Ni vipi naweza kuondoa kwa simu?

iCloud: Ni vipi naweza kuondoa kwa simu?

Kwa nini uitupe sasa? I cloud ina tatizo gani?
 
Bidhaa zote za apple zina i cloud, au kitu ya wizi inakugomea?
 
Haha I Cloud Imekuaj Mwambie Alye Kupa Akutolee Mbal Na Hapo Jiandae Kukamatika
 
Huwez tumia hiyo simu unless uitoe na Kama ni ya wizi basi mwenye simu. Ana Ku track online kupitia apple website
 
ina bidi watu waweke uzi mahsusi kwa ajili ya Icloud tu maana huko watu wamezidi na ma icloud
 
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.
 
Back
Top Bottom