Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 686
Kuna madhara yoyote kama unaweza kuweka anti-virus Mbili kwenye Computer??...
Msaada apo plz
Msaada apo plz
yap yapo makubwa tu,
kila ant virus itamdaka mwenzake kama virusi
Utendaji wa kazi wa computer utakuwa mdogo
Kama yapi Chief