Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hii ndio speed ya hawa HALOTEL korogwe,tanga
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello Guys.. Mwenzenu imepita Kama Week sasa Toka WhatsApp Inipige BAN .. Na Sababu kubwa Ni Kutumia Third party Application ya WhatsApp Plus... Nikaamua Kuchange Namba Tu na Kutumia Nyingine...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau. Nimetumia anti virus ya AVG kwa ajili ya laptop yangu ni windows 8 ila ilikuwa ni trial version tu sasa imeisha muda wake wakuu. Nikasema niombe assistance jukwaa letu pendwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wakuu Leo nilijaribu kuconvert video(muvi) kwenda kwenye format ya MPGE ili niweze kuiangalia kwenye deki(DVD driver) lakin baada ya kubadili format video imekuwa kubwa sana (from 1.2GB to...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Natumia huawei y530. Naomba maelekezo mazuri plz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeweka data column A na B column C nimeweka formula ya average nataka nikopy hiyo formula kwa Ku-drag ili ninapo ingiza data column A na B inipe average column C lakini haileti average. Nifanyaje?
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Habari ndugu, naombeni msaada accounts yangu ya youtube inagoma kuonyesha video ina search ilaleta video lakini kuplay inagoma, please msaada wenu ni muhimu.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nina TECNO H5 na android version yake ni 4.2 Jelly Bean...Je, kuna uwezekano wa kuipeleka Version nyingine yani Android 4.4 Kit Kat??? Kwa anaejua tafadhali
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nifanyeje??? Htc Windows Phone 8X imezimika baada ya ku install updates za OS
0 Reactions
4 Replies
821 Views
Habari zenu wana jukwaa, Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, naomba mwenye uelewa anisaidie. Nina PC nikiingia internet niki scroll page ina stack kama sekunde 10 ndio ina move up. Naomba mwenye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa ku unlock huawei 3531 airtel
0 Reactions
2 Replies
840 Views
mi sio mtaalamu wa Masuala ya simu,nimeipenda sana hii simu nataka nijichange niichukue;android version ni 4.4.4 na kernel version ni 3.442-gdb5a4c6 na system version ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wa jf naimani na wataalumu wa humu ndani naombeni mnisaadie kujua jinsi ya kuformat samsung galaxy S4 maana nimeshindwa kufanya. msaada wanandugu natanguliza shukrani sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sizioni post's zangu ninazotuma Jf kwenye Tapatalk,natumia Nokia Lumia 625 hii imeanza ghafla.wakuu Chief Mkwawa & ymollel msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
604 Views
nina Macbook air model A1465 ilimwagikia maji so motherboard yake imekufa ila vingine vyote vipo safe. Kama kunamtu anayo tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna program ya kuchakata matokeo ya uchaguzi inajosoma dat kutoka kweny txt file... nimecompile haionyeshi error but niki run haioneshi ouput.. unaweza kuipitia kupitia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina iphone 6 lakini inalock, naomba msaada wa mawazo kama inaweza ikafunguka. Nimeletewa na ndugu yangu kutoka south afrika alinunua kwa muuni tu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar,,,ndugu naomben msaada wa kutengeneza template itakayo nisaidia kutolea matokeo ya mtihani kidato cha pili na cha nne,nmejaribu kutengeneza kwenye excel nimeambulia patupu,,kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu! Eti ni Model gani ya Nokia ambayo ina support mambo mengi kuhusiana na internet na social networks! Mfano intagram, what's app nk.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom