Account failure [Windows Phone]

Account failure [Windows Phone]

IamError_D

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
441
Reaction score
117
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kupata activation code za windows phone ili niweze kudownload app mbalimbali na kutumia huduma zingine kwenye simu ya HTC radar c110e.
 
login na account yako ya microsoft au email ya live au hotmail, hio activation code itatumwa kwenye email
 
login na account yako ya microsoft au email ya live au hotmail, hio activation code itatumwa kwenye email
Mkuu Chief nimeangalia kwny email code haipo na simu yenyewe nilipewa kama zawadi na ku sign in kwa email yangu ya microsoft na ilifanya kazi kama kawa tatizo ilikuja baada ya fundi kufactory reset upya wakati kazi niliyompa ni kuziba kava za nje vizuri baada ya kuidondosha simu. So kila niki sign in bado inadai account failure
 
sometime code hawaipeleki kwenye email yako bali email ulioeka wakati unafungua email yko, unaikumbuka? kama bado inazingua fungua upya email nyengine ya hotmail
 
Thanks chief kwa msaada leo nimefanikiwa kupata code baada kuwasiliana na microsoft customer support wanipatie code bila kusign up upya.
 
Back
Top Bottom