Laptop yangu inafanya inavyotaka yenyewe

Laptop yangu inafanya inavyotaka yenyewe

Mr Bean.

Senior Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
185
Reaction score
133
Wadau naomba msaada Pc yangu inajichanganya. Nimeshindwa kuelewa nini tatizo. Mfano unataka kufungua JF wakati inafungu hiyo web ya Jamiiforums kabla haijamaliza inafungua Website nyingine yeyote sometimes inaweza hata ikafungua web za porn. wakati mwingine unapofungua web flani yenyewe inakuletea matangazo mfululizo Sasa tatizo limekuwa kubwa kwani hata ninapo taka Ku log katiak E mail yangu niki click buton ya ok inafungua kitu kingine kabisa Please wadau kwa waelewa naombeni msaada nin cha kufanya .Coz sometimes naona aibu mtu anaweza kudhani nimefungua kwa makusudi web za ngono.
 
hio inaitwa browser hijacker, watu wameteka browser yako.

solution
1. inaweza kuwa ni extension tu nenda sehemu ya extension angalia vitu usivyovielewa vitoe
2. inaweza kuwa ni program ndani ya pc nenda sehemu ya kutolea software angalia itoe
3. zikikataa njia za juu itoe browser then install upya

kama umefanya yote hayo juu bado tatizo lipo search internet MALWARE BYTES then eka free trial itafuta malware wote hio ndio kiboko yao. thyen itoe hio malware bytes ikishasafisha
 
Ok shukran Mkuu.
 
Back
Top Bottom