Kwa mtu mwenye taarifa kuhusiana na mopmobles limited naomba anisadie tafadhali

Jay92

Member
Apr 3, 2015
83
17
Kuna hawa jamaa nimekutana nao leo wanauza simu kwa bei reasonable sana. Nikasema nisije nikaingia kichwa, itakuwa pouwa sana kama nikiwashirikisha wadau wangu wa JF.

Jamaa wanadai kuwa wana store yao ipo Nairobi, inaitwa mopmobile limited. Ninachokihitaji ni kama kweli hiyo store inaexist isije ikawa changa la macho. Pia itakuwa poa sana kama mtu utakuja na bei za simu baadhi.

Asanteni nasubiri kutoka kwenu wakuu.
 
Back
Top Bottom