Msaada kuhusu homebase Tv

Msaada kuhusu homebase Tv

ntamwangah

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
164
Reaction score
24
Wanajamvi nahitaji msaada wenu kuhusu hili kampuni kwenye upande wao wa TV kama ni imara kama zile kampuni zingne tulizozizoea.
 
usinunue kitu ambacho hakina support, wana office hapa tanzania? ikiharibika kuna spear?

ni bora ununue ya bei ghali kidogo yenye uhakika kuliko kununua kitu usichokijua
 
Back
Top Bottom