Msaada juu ya TTCL

Msaada juu ya TTCL

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,716
Reaction score
15,538
Wadau Nime review Bei za TTCL nimegundua wana prices ambazo ni nafuu nauliza hivi Line zao zinaingia Kwenye simu zetu hizi za kawaida Android na iOS? Je Line zao zinakubali kwenye Universal Modem?

Naomba Kuwasilisha Watu wa kejeli pia karibuni.
 
cc [MENTION=44606]Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko
 
Last edited by a moderator:
mi nachofaham wana modem zao n Internet yao ipo fasta..
 
sijui kama wamebadilika ila network yao ni cdma hivyo hata kama ni simu ya android unahitaji yenye cdma na modem pia iwe cdma
 
Code Division Multiple Access (CDMA) ni sawa na 3G?
 
yah cdma pia ina 3g inaitwa EV-DO, kama una modem ya zantel au ttcl ukiconect 3g utaona hilo neno linatokea. ina speed kama 3g zetu za kawaida ila nafkiri haifikii 3.5g au 3.75g. mara nyingi inapeak 3.1mbps
 
Nashukuru mkuu Hivi maeneo ya Temeke office zao TTCL ziko wapi?
 
Back
Top Bottom