Msaada: Motherboard ya Lenovo G 405 imekufa

Msaada: Motherboard ya Lenovo G 405 imekufa

umurumaithaa

Member
Joined
May 9, 2015
Posts
70
Reaction score
8
Computer yangu ya lenovo imekufa mother body msaada, kama mtu anaweza kunisaidia
 
Umurumaithaa, pole kwa kufiwa ( kuharibikiwa) na mother body , hujaeleza aina ya msaada unaoutaka
1.Kupata "mother body" iliyonzima? !
2. Kupata pc mpya? !
Nasubiri
 
Umurumaithaa, pole kwa kufiwa ( kuharibikiwa) na mother body , hujaeleza aina ya msaada unaoutaka
1.Kupata "mother body" iliyonzima? !
2. Kupata pc mpya? !
Nasubiri

Nataka mother body ndugu
 
Umurumaithaa, pole kwa kufiwa ( kuharibikiwa) na mother body , hujaeleza aina ya msaada unaoutaka
1.Kupata "mother body" iliyonzima? !
2. Kupata pc mpya? !
Nasubiri

Unaweza kunisaidia Kupata motherbody
 
ili uipate hio motherboard unatakiwa ujue exactly aina ya lenovo yako, huwezi chukua motherboard yoyote ukaeka
 
Please yng ya lenovo imekufa mother body msaada, kama mtu anawezakunisaidia
Motherboard to computer is like a brain to human being,so kuwa makini na replacement yakena kama gharama zitakuwa juu.Ni bora ununue laptop mpya.
 
ushauri....anza ku uza kifaa kimoja kimoja . itakusaidia sana
 
Back
Top Bottom