Specification Zipi zinaifanya simu kuwa na Internet-Network?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Nipo Nje kidogo ya mkoa wa Iringa napata tabu simu ya kununua iwe na specification gan ili kupata internet?

rafiki zangu wawili wamenunua cm m1 techno Y6 ambayo haina uwezo wa kudownloa pcha yenye kb 20! mwingne techno Y4 na ana uwezo wa kuchat watsap!
 
Hapana haiwezekani y6 isidownload picha zaid ya kb 20.

hapo ni nyie wenyewe either mmeshindwa kuset apn vizuri au mnatumia mtandao wenye speed ndogo sana .

hizo simu zote hata movie unaishusha..

wewe unataka simu ya bei gan kwanza?
 
chukua simu yako then nenda mobile network eka 3g only halafu search network uone kama kuna mtandao wenye 3g eneo lako.

network yenye coverage kubwa ni smart na haipatikani kwenye simu zisizo na band ya 900. tecno nyingi hazina hiyo band, hivyo tafuta mtu mwenye simu nzuri za brand kubwa kama galaxy s2, s3, s4, s5 au s6 halafu search network kama utaipata smart basi hamia huko
 
Nipo nje kdogo ya mji netwrk sio nzur techno y4 inajitahd ila y6 hakuna k2! nataka kuchukua techno boom j5 2G 850/900/1800/1900/
3G HSDPA 900/2100
 
Nipo Nje kidogo ya mkoa wa Iringa napata tabu simu ya kununua iwe na specification gan ili kupata internet?

rafiki zangu wawili wamenunua cm m1 techno Y6 ambayo haina uwezo wa kudownloa pcha yenye kb 20! mwingne techno Y4 na ana uwezo wa kuchat watsap!

Nimeipenda hii
 
chukua simu yako then nenda mobile network eka 3g only halafu search network uone kama kuna mtandao wenye 3g eneo lako.

network yenye coverage kubwa ni smart na haipatikani kwenye simu zisizo na band ya 900. tecno nyingi hazina hiyo band, hivyo tafuta mtu mwenye simu nzuri za brand kubwa kama galaxy s2, s3, s4, s5 au s6 halafu search network kama utaipata smart basi hamia huko

natamani sana Samsung ika mkwanja unabana mkuu! nataka kuchukua techno Boom J5 ina band 850 bado itakuwa shida?
 
kuna band za 2g na 3g, hizo ulizoziona 850 / 900 / 1800 / 1900 ni band za 2g na sio 3g, unatakiwa uwe na band 4 au 5 kwenye 3g ili uweze tumia mitandao yote.

most simu za tecno zina 1900/2100 hivyo inakulimit kwenye mtandao wa smart.

kama umeamua kununua simu kwa budget ya boom zipo motorola moto g kwa shilingi 230,000 tu kaymu tena mpya,weakness yake ni battery haitoki na haiingii memory card ila ni simu nzuri sana kwa bei hio na ina band zote

Buy Motorola Moto G XT1032 - Smartphone | Lowest Price | Kaymu

ipo version ya 8gb na 16gb
 
noted Chief
 
Back
Top Bottom