Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimesoma mahali na kupata hii info kwamba TANZICT(BUNI HUB as a division) ikiwa chini ya Wizara ya sayansi na Teknolojia wakishirikiana na serikali ya finland wana mpango wa kutumia taka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni kwa wakuu wa biashara ya mitandaoni, Tunatengeneza blogs,AdSense account pamoja Facebook multi group poster Bei zetu ni nafuu mno na kama utatupa nafasi ya kukufanyia kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu,kama title inavojieleza sijawah weka pasword,napenda kujua namna ya kutoa hyo meseji,kwani nikibofya zaid ya mara 3 inaleta ujumbe wa kufail na code flani hivi. kwa anayejua anisaidie kwani...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Nilisoma post ya mdau mmoja kuhusu kuroot simu. Nimejaribu kuroot simu yangu samsung galaxy s3 neo na ikashindikana. Tatizo ni kuwa adds zimekuwa nyingi mpaka zinakera, sasa kwa anaejua anisaidie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simu yangu Nokia Lumia 625 inajizima yenyewe,hili tatizo limeshatokea kama mara mbili/tatu sasa,mwanzo ilijizima haikuwaka mpaka nilipoiweka kwenye charge,leo imitokea tena asubuhi ilijizima...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nimepoteza lain yangu ya tigo nasina kitambulisho nilicho sajilia nawezaje kuiludisha.
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Wana JF nisaidien nifanyeje ili simu yangu ipone, ni tecno p5 ilizima baada ya kuishiwa chaji sasa nilpoichaji na ikajaa sasa imegoma kuwaka kabisa. Leo siku ya tatu najaribu inashindikana lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tokea nianze kutumia simu, mitandao yote (airtel, vodacom, tigo na zantel) huku inashika internet yenye kasi ndogo sana (egde) na kama ukitaka 3G basi lazima utoke nje nayo ni kwa shida, jana kama...
3 Reactions
111 Replies
17K Views
Kwa anayefaham visa ya china naomba anifahamishe ni tsh ngapi?
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Yamenikuta haya leo.. Imedondoka umbali mrefu sana..Lakini still its working na iko fresh sema ukiiangalia haitamaniki kabisa.... Mwanzo nilikuwa nasikia tuu kuhusu haya mambo ya Corning...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Salamu kwenu. Nimeshindwa ku-connect simu(smartphone Android) kwenye Laptop ili ku-transfer files. Kila nikijaribu haisomi badala yake inaishia kuingiza charge tu. Naomba mnisaidie nini tatizo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu nokia x2 yangu haitaki maswala ya google services nifanyeje nia yangu ni kudownload android apps halafu je ni windows phone au android?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele?leo siku nzima king`amuzi changu cha TING nlkimaonesha no signal,Niko dar vipi kuna tatizo la TING leo kwa mwenyekujua?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau nilidownlod hii adaway app baada ya kuroot simu yangu sasa Leo nilifungua hii app nimekutana na Ujumbe huu-ROOTED ANDROID REQUIRED(either the su binary could not be found or you did not...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu yangu inasumbua baada yakuifanyia factory reset. Apps nyingi zinagoma kufanya kazi baada yakuzidownload na muda mwingine Google play store inastop ghafla. Simu yangu ni ITEL INOTE CHIEF...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Woke up this morning ,experimented with words "unafiki ni tunu ya taifa" Here are results courtsey google translate mobile edition: "Hypocrisy is a national treasure"....amazing a pretty accurate...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Anayefahamu kama kichwa cha habari kilivyojieleza anisaidie tafadhali.
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Mwanasayansi Isack Newton katika uchunguzi wake alitengeneza sheria kuu tatu za mwendokasi nazo aliziita Newton's laws of motions tuangalie sheria hizi zina apply vipi katika maisha!! 1."Every...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu Wakuu!! Ni takriban wiki sasa tangu king'amuzi cha Azam kigome kuonyesha channel. Yaani iko hiv nikiwasha king'amuzi kinaleta channel list automatically then zinajirusha zenyewe bila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitwa aurelio chelestino mofuga. Nimehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari kitwiru ya iringa mjini. Nilipokuwa kidato cha tatu nilitengeneza system ya kompyuta kwa ajili ya kusomea...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Back
Top Bottom