josephzeclassic92
Member
- Jul 20, 2013
- 37
- 3
habari wanajf,samahani kuna ukweli wowote kuhusu hii software inayoitwa SOFTBOX TANZANIA iliyogunduliwa na mtanzania mwenzetu anayeitwa WILLIAM BRAXTON,je kwa mliojaribu kutest inafanya kazi vizuri?
vp ulifanikiwa kuipata softbox tanzania?Google play store haipo sasa, au itakuwa imebadilishwa jina naomba kujua jamani