Simu ya kichina, nataka iwe na ubuntu

Simu ya kichina, nataka iwe na ubuntu

intelinside

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2015
Posts
306
Reaction score
406
Habari wataalamu, juzi kati nimekutana na mjanja zaidi yangu kaniuzia simu ya kichina. Mwanzo niliikagua kwa haraka haraka nikaona iko sawa, na android version 4.1 ila ukiicheki inaonyesha 5.1 full kanjanja.

Nimejilaumu sana lakini nimeamua ku let go, as they always say never say never, so this was my turn kutapeliwa.

Wazo langu limeamia kuinstall ubuntu mobile kwenye hiyo simu, hivyo naomba mwongozo wenu kwenye namna ya kufanikisha, au kama kuna ushauri mwingine, sifikirii kuiuza, ila niitumie kimajaribio na kujifunza zaidi.

Natanguliza shukrani
 
Simu za kichina zinatumia mediatek, hio android yenyewe mediatek hawasuport drivers za version za mbele kwa wewe unaetaka ubuntu ndio kama unaomba kitu kisichowezekana.

Kama unataka ubuntu ni bora utafute developer device kama nexus.
 
Back
Top Bottom