Namna ya halotel internet kwenye pc kwa kutumia nokia suite.

Ntemwi

Member
Apr 4, 2015
54
14
Salaam,
nimefanya kunfiguration manually kwa kujaza sehem zifuatazo kwenye pc lakini inagoma....
1.Access point......
2.Username......
3.Password......
4.Additional initialisation commands.....
Mwenye ufaham anielekeza yanayopaswa kujazwa labda mm nakosea.
 
Unatakiwa ueke setting za halotel kwenye hio nokia asha yako then automatic nokia suite itacomect na internet.

Umeshaconfigure halotel ifanye kazi na hio nokia asha yako?
 
Nilipoweka laini ya halotel kwa cm yangu haikuniomba conf sett bali ilikubali yenyewe kuaccess internet Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom