Tatizo la Tigo na Whatsapp

Tatizo la Tigo na Whatsapp

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,846
Reaction score
2,402
Huwa natumia whatsapp ikiwezeshwa na internet kutoka tigo kupiga simu ndani na nje ya nchi. Ingawa lengo hasa ni nje ya nchi. Kuanzia leo whatsapp imegoma kufanya huduma hizo naambiwa network provider haruhusu. Hili tatizo ni la leo tu au ndio tigo wameamua kubana? Mitandao mingine vipi wale wanaotumia huduma hii. Nimejikuta nikifanya tethering na kutumia computer. Kwa wale wenye option nyingine ambazo ni mobile tafadhali tujuzeni.
 
natumia tigo napiga sim za WhatsApp nje ya nchi kama kawa labda simu yako tu mkuu hata leo nimepiga na kupigiwa
 
Nimeona mkuu nimejaribu Ku update naona imegoma kabisa ukimcall mtu inazingua
 
mimi hata kuunga imekataa lakini voda inakubali
 
Huwa natumia whatsapp ikiwezeshwa na internet kutoka tigo kupiga simu ndani na nje ya nchi. Ingawa lengo hasa ni nje ya nchi. Kuanzia leo whatsapp imegoma kufanya huduma hizo naambiwa network provider haruhusu. Hili tatizo ni la leo tu au ndio tigo wameamua kubana? Mitandao mingine vipi wale wanaotumia huduma hii. Nimejikuta nikifanya tethering na kutumia computer. Kwa wale wenye option nyingine ambazo ni mobile tafadhali tujuzeni.

Kwangu mzigo unafanya kazi as usual nimetoka kuongea na jamaa yng yupo marekani mida hii hii
 
Back
Top Bottom