Matangozo yamezidi katika simu

Matangozo yamezidi katika simu

mgange hussein

Senior Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
159
Reaction score
43
Amani kwenu wana jamii forums.Nina simu aina ya tecno,sasa kinacho nisumnisumbua imeanza kama wiki mbili sasa,kila nikiwa naitumia katika masuala ya internet.Inaweza tokea mara mambo ya cm security protect mara mambo ya tigo hhaipiti dakika mbili matangazo.Naomba nisaidiwe kuondokana na tatizo hilo.
 
Kila siku watu wa solve tatizo hili jamani, hebu pitia huko chini
 
Back
Top Bottom