Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wapendwa hii simu imeshafika kwenye maduka yetu hapa jijini..? Maana ina specs nzuri na bei pia kulinganisha na kina iphone&samsung Nataka nijpange niivute...Ahsanteni.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamiiforum naomba nisaidiwe kwa yeyote mwenye ujuzi na jambo hili, simu yangu ni 'SONY Xperia v3+' ina 4gb internal storage' tatizo ni kwamba nikidownload apps inadownloadika lakin...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mtandao unao anza naona hapa wamebugi.... Sikutegemea kama watakuwa na vifurushi vya style hii.... Binafsi kwangu wacha nibaki hapa nilipo... Sijui kwa wengine...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari wakuu,! Naomba ufafanuzi kuhusu application ya mobile cheater spy maana kuna jamaa mmoja kwenye mtandao wa Facebook anadai yeye ndo mwanzilishi wa hiyo application na kama mtu anataka kui...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarini za asubuhi.....naomba msaada kwa simu Yang tajwa hapo ikubali kutumia vifurushi vya kawaida vya MB na sio vya blackberry pekee
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu! Naomba msaada wa kitaalamu kuhusu gesi ya hydrogen,inafaa kwa matumizi ya kupikia, nimegundua njia rahisi ya upatikanaji wake,naomba kwa enaejua anijuze. Naomba asitumie maneno ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naiona sana ktk simu za android,hii ni kitu gani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada nina simu aina ya samsung galaxy note 1 ,ina tatizo la kujizima pindi tu inapokaribia kuisha chaji halafu hainialert inakua kama na vimulimuli af inazima.pia nikiiacha usiku...
0 Reactions
2 Replies
711 Views
Wakubwa Nilikuwa nahitaji kuongeza urefu wa webcam yangu ili niweze kutoa nje ya nyumba kwa ajili ya usalama, katika kuangalia specification za usb cable nitakutana na hivi vitu USB...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada Wadau Naskia Hizi Window Phone zinatabia ya kushindwa kudisplay menu za Mpesa Tigo pesa au hata kifurushi sasa wana jamvi mnanisaidiaje ili nisinunue Lumia ya namna hiyo Msaada Jamani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumia simu yenye window8.1 with demin. Ina software apl inaitwa cortana sijajua matumizi yake ni nini, na inafnyaje kazi. Natumia miscrosoft 640.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habarin woote!! Naomba kwa wataalamu wa Magari je Toyota Avensis Wagon ni gari imara kwa matumizi ya hapa na pale kwa maisha yetu ya kila Siku? Mwenye uzoefu au kutumia atujuze kidogo juu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Wana jf naomba Masada wa jinsi ya kujiunga na mtandao wa net wa halotel, naishi kijijini mkoa wa kigoma nimesajili line ya halotel kweli mtandao uko vzr Sasa nimejaribu kujiunga na mtandao...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Kwa ambae anajua kuweka powervu key kwenye hiyo qsat receiver anisaidie tafadhali
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Wapi wanatoa huduma hizo? hapa mjini....... (Dar)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Laptop yangu nikiiwasha inapata moto sana kisha inazima, sasa kwa anayefaham naomba anifahamishe tatizo ni kitu gan? aksanten sana , nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wa ku boot window 7 katika laptop Toshiba satellite C850-F01N maana kila nikipress F12 ni boot inagoma..naombeni mawazo yenu tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni maelezo juu ya tecno boom j5 je ni nzuri au?
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kimataifa na hata ya hapa nchini, hutuba inapotolewa huwa kuna ambao wanavaa headphones ili kuweza kupata tafsiri ya hutuba, swali , je? kunakuwa na kifaa maalum...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalamu wangu wa jukwaa hili hamjambo? Naandika hii nikirefer HII THREAD Je, kama jeshi la polisi likitaka kuanzisha tovuti ya kupokea/upload picha kama youtube,itawezekana?Au ni technically...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom