Continental Decorder, Nyuma ya pazia la kutokuwepo hewani

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,335
1,225
Kutokana na kupotea kwa satellite ya Amos 5 mwishoni mwa mwezi uliopita, Kampuni ya Continental Media imeamua kusubiri hadi Spacecom (ambao ndio wamiliki wa amos) watapopata malipo ya bima ya satellite yao ndipo (continental) watapoclaim kurudishiwa pesa za mkataba wao, halafu then ndipo wataporudisha huduma hewani.
Ni kama vile continental sio wa kuwategemea tena coz inawezsekana wakatangaza satellite gani watahamia baadae sana mwakani, Hii ni kwa mujibu ya mmoja wa waajiriwa wa huko, (take it as tetesi (unconfirmed kwa sasa)

so wakuu, ,mwenye dish la 90cm ku band either la kampuni yoyote (continental. azam, startimes) ambalo anaweza kuniuzia (NAHITAJI DISH TU BILA DECORDER WALA WIRES), please anipm, its URGENT!! Ili wengine tuhamie kabisa FTA coz hizi huduma za makampuni yetu unreliable kabisa!!

Pia satellite finder analog,

vyote viwe Mwanza tafadhali.
 
As for sat finder, your phone can be the easiest, best, effective solution
 
Mimi kingamuzi changu cha Startimes kimekata siku ya 3 leo. Je kuna uhusiano na hiyo satellite?
 
Back
Top Bottom