Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kimataifa na hata ya hapa nchini, hutuba inapotolewa huwa kuna ambao wanavaa headphones ili kuweza kupata tafsiri ya hutuba, swali , je? kunakuwa na kifaa maalum...
Wataalamu wangu wa jukwaa hili hamjambo?
Naandika hii nikirefer HII THREAD
Je, kama jeshi la polisi likitaka kuanzisha tovuti ya kupokea/upload picha kama youtube,itawezekana?Au ni technically...
Windows cannot be installed to the disk.
The selected disk has an MBR partition t?ble. On EFI system, Windows can only be installed to GPT disks.
Hiyo ndio message ninayoipata w?kati ni...
Ni samsung s3 gt i9300 android 4.3jb,tatizo kubwa inashika joto na haikai na chaji na betri nimenunua mpya lakini bado ukiwa online si chini saa 2 chaji imeisha,hivyo nahitaji msaada wenu wakuu...
Habari, ni matumaini yangu kuwa kila mmoja yu mzima, kwa wenye matatizo ya hapa na pale poleni sana. ninaomba msaada jinsi ya kurudufu "laini " ya simu SIM CARD CLONING!
Ni kwa matumizi yangu...
Hey guys, nimeipata hii app nzuri nikaona ni vyema kushare na marafiki, hususani wale wanaotembea barabarani huku wakiwa wanachat, kiukweli ni usipendelee kutumia simu ukiwa unatembea barabarani...
Turn your iPhone into a hidden camera
By Ildar Khakimov
I just want to discuss about this product, which is produced by Ildar Khakimov. I like to buy spy cams, and this one is interesting...
Habari zenu wakuu
Yapata mwezi wa 6 huu namiliki Nokia lumia 610, kilichonileta hapa ni kwamba simu haisapoti Instagram
nmejaribu metrogam, instawith massive love, bado haisapotti
Application ya...
Habari zenu wakuu.
Nimenunua desktop ya dell na naitumia, ila kutokana na specs ndogo (yaani ram 2 GB, 2ghz processor) nakua nashindwa kurun software ambazo zina uhitaji mkubwa sana kama fifa 16...
1) Adobe Air
2) Android 1.0
3) Android 1.0
4) Android System 1.0 Not Android System
5) AndroidSystem 1.2 Note=Do Not Uninstall Android System Main Application
6) androidsystem 1.0
7)...
Habari. Nataka kufungua ofisi ya kuziba pancha tairi za gari, hivyo ninaomba kufahamishwa kama naweza kupata mashine za kubadilishia tyre, wheel balance machine na mashine nyingine muhimu kwa kazi...
Habari,, nauliza hivi kuna uwezekano wa mtu aliyeko call centre kusoma meseji zako unazotumiwa na mtu mwingine au kusikiliza maongezi,,na pia kuna uwezekano wa mtu kujua full namba ya mtu...
Guys am trying to switch on my laptop,
Everythng is okay but the problem is that the laptop can't display anything it remain as a black screen
guys i dont know the problem plz help me to solve this
External hard disk yangu haifunguki / haisomi nikiunganisha kwenye computer, naomba mnijuze tatizo ni nini na mafundi wazuri au wataalam wako wapi jijini DSM. Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.