W Wamtaa huu Senior Member Joined Jan 21, 2011 Posts 168 Reaction score 55 Dec 1, 2015 #1 Ni simu ya tecno P5.Inasoma mount your SD card wakati tayari ipo.Nawezaje kutatua hili tatizo ndugu zangu.
Ni simu ya tecno P5.Inasoma mount your SD card wakati tayari ipo.Nawezaje kutatua hili tatizo ndugu zangu.
Mnyakatari JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 2,111 Reaction score 1,920 Dec 2, 2015 #2 Itakuwa wamekuuzia sd card mbovu mkuu.Kama ilikuwa inafanya kazi basi jaribu kuzima na kuwasha simu labda
Itakuwa wamekuuzia sd card mbovu mkuu.Kama ilikuwa inafanya kazi basi jaribu kuzima na kuwasha simu labda