Nipo na king'amuzi cha AZAM TV, lakini shida ipo mvua ikianza kunyesha hata kama mvua ni ndogo inakata, inakuwa haionyeshi, hata kama mawingu yakitanda sana inakata kuonyesha, na kila fundi nimeleta lakini hakuna, pia nilienda makao makuu ya azamu mkoa kuuliza wakasema ni kawida mvua ikianza lazima king'amuz kikate, na ni kila king'amuz walidai, ila nikiuliza watu wengne wanasema hapna lazima kionyeshe, inasoma 66/40 kila linapolekebishwa linakomea hivyo hivyo likipanda juu may b 78/60 halionyeshi
Tatuzi nni jamani walio na uzoefu samahani
Tatuzi nni jamani walio na uzoefu samahani