Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakubwa Nilikuwa nahitaji kuongeza urefu wa webcam yangu ili niweze kutoa nje ya nyumba kwa ajili ya usalama, katika kuangalia specification za usb cable nitakutana na hivi vitu USB...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada Wadau Naskia Hizi Window Phone zinatabia ya kushindwa kudisplay menu za Mpesa Tigo pesa au hata kifurushi sasa wana jamvi mnanisaidiaje ili nisinunue Lumia ya namna hiyo Msaada Jamani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumia simu yenye window8.1 with demin. Ina software apl inaitwa cortana sijajua matumizi yake ni nini, na inafnyaje kazi. Natumia miscrosoft 640.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habarin woote!! Naomba kwa wataalamu wa Magari je Toyota Avensis Wagon ni gari imara kwa matumizi ya hapa na pale kwa maisha yetu ya kila Siku? Mwenye uzoefu au kutumia atujuze kidogo juu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Wana jf naomba Masada wa jinsi ya kujiunga na mtandao wa net wa halotel, naishi kijijini mkoa wa kigoma nimesajili line ya halotel kweli mtandao uko vzr Sasa nimejaribu kujiunga na mtandao...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Kwa ambae anajua kuweka powervu key kwenye hiyo qsat receiver anisaidie tafadhali
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Wapi wanatoa huduma hizo? hapa mjini....... (Dar)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Laptop yangu nikiiwasha inapata moto sana kisha inazima, sasa kwa anayefaham naomba anifahamishe tatizo ni kitu gan? aksanten sana , nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wa ku boot window 7 katika laptop Toshiba satellite C850-F01N maana kila nikipress F12 ni boot inagoma..naombeni mawazo yenu tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni maelezo juu ya tecno boom j5 je ni nzuri au?
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kimataifa na hata ya hapa nchini, hutuba inapotolewa huwa kuna ambao wanavaa headphones ili kuweza kupata tafsiri ya hutuba, swali , je? kunakuwa na kifaa maalum...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalamu wangu wa jukwaa hili hamjambo? Naandika hii nikirefer HII THREAD Je, kama jeshi la polisi likitaka kuanzisha tovuti ya kupokea/upload picha kama youtube,itawezekana?Au ni technically...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Windows cannot be installed to the disk. The selected disk has an MBR partition t?ble. On EFI system, Windows can only be installed to GPT disks. Hiyo ndio message ninayoipata w?kati ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni samsung s3 gt i9300 android 4.3jb,tatizo kubwa inashika joto na haikai na chaji na betri nimenunua mpya lakini bado ukiwa online si chini saa 2 chaji imeisha,hivyo nahitaji msaada wenu wakuu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, ni matumaini yangu kuwa kila mmoja yu mzima, kwa wenye matatizo ya hapa na pale poleni sana. ninaomba msaada jinsi ya kurudufu "laini " ya simu SIM CARD CLONING! Ni kwa matumizi yangu...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hey guys, nimeipata hii app nzuri nikaona ni vyema kushare na marafiki, hususani wale wanaotembea barabarani huku wakiwa wanachat, kiukweli ni usipendelee kutumia simu ukiwa unatembea barabarani...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
hii msg naipata sana kwenye simu yangu, je kunatatizo lolote litatokea...? nini chakufanya kama kuna risk zozote zinazoweza kujitokeza....msaada wakuu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Turn your iPhone into a hidden camera By Ildar Khakimov I just want to discuss about this product, which is produced by Ildar Khakimov. I like to buy spy cams, and this one is interesting...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Habari zenu wakuu Yapata mwezi wa 6 huu namiliki Nokia lumia 610, kilichonileta hapa ni kwamba simu haisapoti Instagram nmejaribu metrogam, instawith massive love, bado haisapotti Application ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Nimenunua desktop ya dell na naitumia, ila kutokana na specs ndogo (yaani ram 2 GB, 2ghz processor) nakua nashindwa kurun software ambazo zina uhitaji mkubwa sana kama fifa 16...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…