Wakuu nataka kununua simu iphone kupitia mtandao wa ebay, lakin naona simu nyingi wameandika at&t, t-mobile, verizon,nk je nini maana hizo mambo? Zinaongeza au kupunguza nini katika simu? Na...
Wadau naihitaji hii game kwenye simu yangu ss nimepita pita huko torrent ht silioni,,mwenye direct link ya kulidownload bila kulipia anipatie
cc CHIEF MKWAWA
Naombeni msaada mwenye ujuzi, computer yangu ni HP ProBook 4520 ina miaka 4 sasa toka nilipoinunua ila hivi karibuni imeanza mtindo pale ninapofanya full scan hasa ikifikia asilimia 18 inazima lkn...
Heshima kwenu wadau, nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya chuo ila sina uzoefu na laptop.Hivyo nakaribisha mawazo ya wataalam. Nimetenga sh 350,000 kwa ajil ya hiyo bidhaa. Naomba kujuzwa ni...
Wakuu tunapenda kuwatangazia kuwa sasa tumetoae ofa maalum kwa wale wote wenye uhitaji huduma zetu,Kama ifuatavyo:-
1.Blog pamoja na adsense account Tsh. 80,000/=
2.Website...
Habari wanaJF,
Ndugu zangu naomba nipate elimu kutoka kwenu kuhusu namna ya kusoma 'Personal Message'.Nikifungua email address yangu, nakuta jamaa au marafiki yangu ananiambia kwamba amenitumia...
hey guys, muda si mrefu tutaweza kutumia application za window .exe kwa android phone .apk , hili limekuwa tatizo kwa watu wengi sana ,unakuta application nzuri kwenye computer yako, unatamani...
Jamani nina siku 5 sasa sipati na siangalii TV, chaneli zote hakuna. Natumia QSat Q15G kusimbua chaneli muhimu za bongo, kwa sasa dunia imekuwa mbali kwangu.
Nijulisheni kulikoni?
Nilikuwa natumia Window 10 kwenye PC yangu lakini leo nimeweka Window 7. Hivyo PC ipo na window zote mbili
Files zangu zote zipo kwenye Window 10, sasa nikitaka laptop itumie Window 7...
Kuna habari kuwa kuna satellite iliyozeeka ya Marekani ambayo inatarajiwa kuanguka kurudi huku duniani kwa mujibu wa NASA. Wanasema saizi yake ni kama basi ambapo inategemewa itaweza kuunguka...
Nilikuwa na mpango wa kununua simu hii, lakini nimeshtushwa na uporomokaji wa bei tokea 240k mpaka 120k! Je simu hii wanaotumia mmeionaje? Betri kimeo nini? Mbona tigo wamezishusha sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.