Habari, ni matumaini yangu kuwa kila mmoja yu mzima, kwa wenye matatizo ya hapa na pale poleni sana. ninaomba msaada jinsi ya kurudufu "laini " ya simu SIM CARD CLONING!
Ni kwa matumizi yangu binafsi kwani nina simu mbili na nahitaji kila mmoja ibaki na namba yake lakini niweze kupata taarifa au kutumia simu yoyote ile. Kwa mfano nikipigiwa katika simu A niweze kupokea kupitia simu B au hata nikipokea katika simu moja wapo taarifa ionekane katika simu mojawapo.
Nimejaribu kupakua software lakini bado sijafanikiwa. Ikiwa kuna mtu anaweza kufanya hivyo tuwasiliane lakini ni vyema nikaelekezwa ilinifanye binafsi.
Asanteni kwa msaada