Nashukuru nimefanikiwa kuipata task manager na vp kuhusu kuibadilisha android version ya 4.3 nikwa kutumia custom rom na ipi ambayo ni nzuri kwa ukaaji wa chaji
muda unakwenda wakati nina s3 nilikuwa natumia rom inaitwa s4 revolution sijui sasa hv rom gani ni nzuri.
task manager angalia kama cpu na ram vipo maxed
hv task manager ni hii ya kawaida ya cm ambayo unabonyeza home button na kuhold ama lazima uidownload?
na kuhusu kubadili version ya 4.3 nafanyaje chif
ile pia ni task manager ila sio powerfull sana ukienda playstore utazipata nzuri.
na kubadili 4.3 kwenye s3 ni mpaka custom rom sababu imeshaachwa kupewa support na samsung.
custom rom ndo inakuaje kka,,km hutojali nipatie process nzima ya kufanya hvyo nijaribu kubadilisha
Unatumia simu aina gani..?hiyo custom rom inawezekana kuidownload over the air kwenye simu na kui install kama apps nyingine au inakuwaje?
c.c Chief Mkwawa
Unatumia simu aina gani..?