SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Wataalamu wangu wa jukwaa hili hamjambo?
Naandika hii nikirefer HII THREAD
Je, kama jeshi la polisi likitaka kuanzisha tovuti ya kupokea/upload picha kama youtube,itawezekana?Au ni technically
impossible/unfeasable?
Mimi ningetaka jeshi lifungue aina hiyo ya website ili picha/video za kihalifu zitumwe huko na raia wema.