Data usage warning....

Data usage warning....

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
hii msg naipata sana kwenye simu yangu, je kunatatizo lolote litatokea...? nini chakufanya kama kuna risk zozote zinazoweza kujitokeza....msaada wakuu
 
Hakuna tatizo lolote lile ni warning ya kawaida tu hiyo umetumia kiasi kikubwa cha data tofauti na ulivyoweka!? Nenda kwenye SETTING>DATA USAGE kaongeze limitation hapo.
 
Back
Top Bottom