Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kimataifa na hata ya hapa nchini, hutuba inapotolewa huwa kuna ambao wanavaa headphones ili kuweza kupata tafsiri ya hutuba, swali , je? kunakuwa na kifaa maalum cha kutafsiri au ni watu ndo wanatafsiri?Naomba kuelimishwa.