Kati ya Androids, Window Phone zipi ni simu Nzuri kwa mtumiaji

Kati ya Androids, Window Phone zipi ni simu Nzuri kwa mtumiaji

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,365
Reaction score
6,086
Naomba kuwauliza mliowahi kutumia Window phone na Android. Mnisaidie ni Aina gani nzuri kuendelea kuitumia bila kuichoka?
 
Android......windows phones not user friendly, apps nyingi hazipo compatible, I failed to install Jf app...it was useless nkagawa
 
Android......windows phones not user friendly, apps nyingi hazipo compatible, I failed to install Jf app...it was useless nkagawa

ulifeli padogo tu ulitakiwa uinstall taptalk basi unapata forums kule
 
simu zinazotumia OS ya Android kwa sasa ndo ziko sokoni kwa Tanzania pia ni nzuri

Pia unaweza kutumia IOS (Iphone) hizi kwangu ndo nzuri zaidi
 
Hii tapatalk ndo ina usumbufu sana ku-install

kwangu ilikubali bila tatizo na niliipenda vile unapata vitu vingi kwa jamii forums, unfortunately imekufa display nimeitupia ndani na kurudia android
 
Yani kifupi zaidi android ni king wa play kama unataka kucheza games, ueke themes, ueke custom rom, na vitu vifananiavyo chukua android.

Windows phone ni business class ipo smooth na security kubwa. simu za bei rahisi kama lumia 620 imetoka 2012 lakini hadi leo ina support na inapata updates kitu ambacho android hakipo.

Pia windows phone ni simu ya kifamilia zaidi kama unawatoto na unashare nao simu ni nzuri.
 
Naomba kuwauliza mliowahi kutumia Window phone na Android. Mnisaidie ni Aina gani nzuri kuendelea kuitumia bila kuichoka?

The big difference here mkuu ni kwamba kama unataka kutumia simu for entertainment windows will be disappointment.
Ila for everything buy android.
Windows phone ni nzuri sana kwa watu wasiocomplicate maisha hasa kina Mama, na watoto wakike, windows itakuchukua muda mrefu sana kukuvutia tofauti na android, na itakapoanza kukuvutia utaona limit zake na utaanza tena kuichukua.

i'd better buy android and theme it windows-phone looklike.
 
Inabidi uconsider support pia kwa kua uko bongo basi apps nyingi zinazotengenezwa za nyumbani hua zinawekwa Android, sasa unless huna shida nazo ila kama itakuja moja mbili huko mbele ambazo ni za muhimu odds are hutopata hiyo huduma wa kwanza sinply because kila developer bongo anaanzia android cos ndio ina market kubwa.

Ukitoa hilo basi OS yoyote sawa tu, kila moja ina mapungufu yake na strength zake, it all comes down to wewe personally unataka kufanyia nini.
 
Naomba kuwauliza mliowahi kutumia Window phone na Android. Mnisaidie ni Aina gani nzuri kuendelea kuitumia bila kuichoka?

NI Androids,nimefanya utafiti kwa kuwauliza maswali wauzaji na watumiaji wa mifumo yote miwili.
 
Android......windows phones not user friendly, apps nyingi hazipo compatible, I failed to install Jf app...it was useless nkagawa


Ulikiwa unatumia wp ya aina gani ? Katika simu ambazo ziko vizuri kila idara ni wp , sijui ni apps zipi ambazo unazitaka zaidi lakini kiukweli wp ndio master.

Hajjmakwato
 
QUT6BJH.jpg
jamii forum hiyo hapo kweny lumia 1520

Hajjmakwato
 
Yani kifupi zaidi android ni king wa play kama unataka kucheza games, ueke themes, ueke custom rom, na vitu vifananiavyo chukua android.

Windows phone ni business class ipo smooth na security kubwa. simu za bei rahisi kama lumia 620 imetoka 2012 lakini hadi leo ina support na inapata updates kitu ambacho android hakipo.

Pia windows phone ni simu ya kifamilia zaidi kama unawatoto na unashare nao simu ni nzuri.

kuna utofauti wowote wa kiubora na utendaji kazi wa simu kati single line na line 2 kwa brand moja.? Mfano lumia 640 na lumia 640 dual sim. Au galaxy A8 na A8 duos.
 
Android......windows phones not user friendly, apps nyingi hazipo compatible, I failed to install Jf app...it was useless nkagawa

Hata Mimi Nina tatizo hilo la kuistall Jf ila Window phone ndio simu bora kuliko Android huwez kuichoka hata kidogo ina mambo mengi and wide area to enjoy
 
Back
Top Bottom