relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,471
Wakuu habari nilikuwa nahitaji kununua flat screen TV aina ya Samsung led inch 32 za kutokeaVietnam sasa nilikuwa nahitaji kujua je TV hizi zina king'amuzi cha ndani maana niliwahi ona humu mtu akiuza TV hizi ila zinatokea Pakistan zikiwa na king'amuzi cha ndani.
Msaada wa hilo tafadhali.
Msaada wa hilo tafadhali.