GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,281
- 6,697
Wakuu naomba msaada wenu, hii mashine imenisumbua vibaya sana haikubali keyboard
wala mouse, ina ports nane(8) za USB lakini hakuna hata moja inayokubali kufanya
kazi, mbaya zaidi haina mfumo wa PS2 hivyo ni lazima utumie USB.
Nimejaribu kuclear mfumo wa CMOS kwa kuondoa betri na Jmprs lakini bado inasumbua
kabla sijahukumu kuwa motherboard imekufa naomba ushauri wenu.