gachuru one
Senior Member
- Oct 31, 2014
- 119
- 52
ninatumia simu aina ya huawei y600 imeanza kuwa na tatizo lakuwa nikifungua program yoyote inapotea bila kufunguka pia inaniandikia kwamba suddenly ui stopped nifanyeje jaman

Fanya kui reset/format alafu usikilize kama hamna changes yeyote basi iflash natumai itakubali.
nikiiformat kila kitu kitafutika? na pia wanaformat vp naomba maelekezo.