Adsense vs subdomain

Adsense vs subdomain

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
741
Reaction score
563
Habari wakuu humu ndani
Naomba kuuliza google adsense zinaweza kutumika kwenye subdomain km blogspot nk
Na je unatumia njia gan kuiweha

Mi natumia blogspot,lakn adsense inagoma

Msada wakuu
 
Inatumika na inaanzia huko huko kwenye blogspot ila ungeeleza inagoma vip? Je unayo tayari accout ya Adsense na kama unayo unakwama wapi usaidiwe?
 
Back
Top Bottom