Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni msaada wakuu mwanzo nilikuwa napokea notification za jamii forums lkn baada ya kuwa imezingua hapo katikati sipat tena notification....jee nifanye nn
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye menu ya Vodacom imeongezeka option ya Simu.tv kuna mtu anajua ni nini exactly? inaonekana kama unaweza kununua video na movies. nafanya uchunguzi zaidi.
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Nauliza ghalama ya kubadili plate number ya gari
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Simu yangu vodfne v695 nikipiga simu siwez elewana na upande WA pili , mpaka niweke loud speaker,lakini pia nikiplay nyimbo sizikii mpaka niweke ear phone ,je nifanyaje
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Hii gari inatoa kelele sana kwenye miguu nshapeleka kwa fundi lakini wapi bado kuna kelele znatokea kwenye staring au kwenye miguu nshachoka nayo kwa mwenye kuweza kunsaidia kusolve hili tatizo...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
naomba kujuzwa na expert jinsi ya ku-unlock moderm ya vodacom;huawei E303 ili itumie laini zote.
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Sijafungua email adres yangu siku nyingi,nilipojaribu kufungua ujumbe ukaja wanataka kujiaminisha kama kweli mimi ndiye mwenye account hiyo,nimeulizwa swali la jina nililokua natumia utotoni nami...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tumia code hii ili kuweza kuseti laini fulani ifungue 3g bonya *#*#4636#*#* lakin baadhi ya model za sim hugoma ikikubali nenda Kwenye menu itakayofunguka na chagua Phone imformation...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari za muda huu wakuu Nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu vifurushi vya chuo vya halotel ambavyo nimesikia vimetangazwa hivi karibuni...#
0 Reactions
9 Replies
15K Views
Wadau napata shida baada ya kubadilisha Background ya Picha/Kuedit napata shida jinsi ya Kusave kwenye PC mfano nimeiwekea background nyeupe ila nikienda kule juu kwenye image-Export sioni Option...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari? naomba mnisaidie maana napata tabu kudownload kupitia simu yangu kuna moja nimesearch inaitwa tubemate lakini nikatahadharishwa inaharibu simu nikaiacha, mwenye kufahamu plz pili...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuna app nimeona nishare nanyi, inaitwa blackmart...... Hii ni market ambayo apps yoyote inayouzwa playstore utaipata bure kabisa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
wana jf naomba msaada shemeji yenu amebadilika siku hizi naomba kujua kama kuna namna ya kunasa mawasiliano yake kupitia simu yake ya mkononi
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari. Wakuu nina iphone natumia nashindwa kudownload apps kutokana na kutokuwa na account ya icloud.nimecreate account tatizo nikidownload apps naambiwa account haiko verified .nifanyaje?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau TV yangu inatoa sauti lakini hakuna video, nimejaribu kibadilisha wire labda ni mbovu tatizo bado, channel ya Tv naisikia lakini sioni, tatizo inaweza kuwa nini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
http://www.chattytz.byethost7.com/ Anza kwa kuchagua Start Chatting, then utaandika nickname yako na kitu(interest) ambacho unataka kuongelea halafu system itatafuta randomly mtu mwenye interest...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau naomba kwa mwenye uzoefu juu ya hizi solar zinazouzwa na kampuni ya mobisol na hizi za madukani ni zipi nzuri kwa wenye uzoefu nazo? maana ukilinganisha bei ya dukani na hizi za mobisol...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Wakuu msaada hapo juu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana ukumbi, Si mbaya tukashare maarifa hapa Jamii zetu za enzi hizo zilitumia vitu kama Ngoma au Moshi kuwasiliana Mwanadamu anajaribu kuleta njia rahsi zaidi ya mawasiliano kati ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari wakuu,nahitaji kujua na kufahamishwa juu ya blackberry z30.karibuni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom