Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau wa jukwaa hili habari, Nina itel1702 prime11 ambayo kwa kustukiza tu naona ile notification bar na ile sehemu ya juu kama haisensi hivi maana kila nikitouch kitu kilichoko eneo hilo inakua...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Naomba msaada kwa anayejua unlock network code ya nokia lumia 520 nimepewa na dada alitumiwa kutoka Uk bado ni Mpya inatumia windows 8.0
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina simu yangu ya itel 1503 yenye version ya kitkat nataka iwe na lollipop version, nimeshairoot tayari. So kwa mtaalam yoyote wa mambo haya aliyepo Dodoma...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimeibiwa iPhone 4s naweza je kuipata?kuitrack?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada kwa yeyote Anaya fahamu mahali Board za Arduino zinapatikana Pamoja na gharama zake naomba ani PM Regards Stormryder
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Mamboz! Naomba kufahamishwa jinsi ya kum'block mtu by codes na pia jins ya ku'forward incoming call from one phone to another,ahsanten!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nilikua nauliza kama kuna mtu anajua bei ya video ram ya 512 mb ya kuchezea game na vitu vigine naomba aniambie bei Asanteni
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Sioni sehemu nayoweza sign out JF kwenye hiyo MENU...ninafanyaje?Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni kipi lilichoongezeka katika version mpya ya marshmallow. Ukitofautisha na lollipop
0 Reactions
0 Replies
736 Views
habari guys, nimefungua blog yangu, naomba nixaidiwe template nzuri special kwa blog na adsense
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Natumia QSat 15 G nilikuwa napa na kuona vituo kadha vya TV hapa Tz kupitia Satellite ya Amos 2,3 lakini ghafla ina niambia No Service. Shida ni nini? Je! Wamehama tena? Chonde chonde.Nisaidieni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za week end wadau wa JF Tech? Niende kwenye point moja kwa moja, nilipata notification ya availability ya windows 10 kwa PC yangu ambayo ni HP 635. Niliweka bando ya kutosha na kupakua...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanatech nauliza duka la kuipata simu tajwa hapo juu kwa hapa Dar kwa reasonable price budget yangu ni Tshs 300,000.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kwa wataalamu wa kufunga madish naomba kuuliza..nawezaje kupata hotbird satelite hapa dar es salaam?..ningependa kujua ni dish ukubwa gani na lnb type gani inayohusika niweze kuikamatata hii...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
jaman lumia 920 yangu ilidondoka akapasuka kioo na kuanza kuflick kama inavyooneka ktk picha, je nini cha kurepair hapo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PC yangu kila nikiiwasha inapofikia sehemu ya starting window inastack hapo/ ina-freeze muda mrefu sana na Mara nyingine inaniletea startup repair. Sasa sijui shida nini kwa anayefahamu anifahamishe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele natumia s5 samsung yenye android
0 Reactions
17 Replies
9K Views
kompyuta yangu inaonyesha maicon makubwa na chenga chenga nyingi tofauti na ilivyokua mwanzo je nipige window mpya au ni install driver za vga au nifanye nini ili ikae sawa
0 Reactions
6 Replies
505 Views
Wakuu natumia hTc rezound(verizon) Siku za hivi karibuni imegeuka kero ina adds za kutosha kila dk mbili linatokea tangazo halafu ni unstoppable,nifanyaje ili niweze kuisafisha simu irudi kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…