Pro Evolution Soccer (PES) inauzwaje?

makutopora

Member
Dec 23, 2014
28
12
Wadau, naulizia hivi ile video game ya mpira ya pro evolution soccer ya 2015 au 2016 inauzwa bei gani!
 
hujanielewa jamaa, mm natafuta cd ya pro evolution soccer ya 2015 au 2016 (PES) na sio PS!
 
Nina ps3 ninaweza kuwekewa fifa 16 kwa bei gani na kariakoo sehemu gani?
 
Hivi watu wanaacha kucheza Fifa wanacheza PES!?
PES mbona wqko poa tuu ...sema fifa uwaga wanawabania Konami kuhusu maswala ya ligi, wachezaji n.k ...haki zote anapewa EA sports .sema pes 2016 wamejitaidi sanaa
 
PES mbona wqko poa tuu ...sema fifa uwaga wanawabania Konami kuhusu maswala ya ligi, wachezaji n.k ...haki zote anapewa EA sports .sema pes 2016 wamejitaidi sanaa
Dah EA sports wako vzuri zaidi kuliko konami km unataka kufurahi game la mpira cheza fifa ni nomaa aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom