VILLAIN
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 429
- 253
Habari wana JF,
Nina uzoefu kwenye field ya Fleet tracking na Fleet management, huduma ya kufunga tracking devices kwenye magari na pikipiki imekuwa kwa kiasi kikubwa sana hapa Tanzania kwa miaka ya karibuni. Makampuni makubwa yanategemea sana fleet tracking kujua mienendo ya magari yao yanapokuwa ndani na nje ya nchi. kama una swali lolote kuhusu field hii unaweza kuuliza na nikakusaidia. Pia kama kuna wadau wengine tunaweza kubadilishana uzoefu.