Msaada: Simu yangu inatatizo

Nenda kwenye application afu Google service, clear all caches and data afu disable
 
Clear Data katika hio specific app inayo crash halafu restart simu then lete mrejesho
 
nmeclear appl zote atleast now nashukuru..lkn nmedownload cm security inanambia kuna virus Trojan
ntawatoaje hao trojan

time service
monkey test
 
Hata mimi nina tatizo hilo. Natumia Samsang Grand prime. Ni mepeleka pale Samsung care jengo la harbour view lakin wamelishindwa. Nifanyeje jmn
 
Hata mimi nina tatizo hilo. Natumia Samsang Grand prime. Ni mepeleka pale Samsung care jengo la harbour view lakin wamelishindwa. Nifanyeje jmn
Sina hamu na Samsung, simu yangu ilikufa hivihivi ilhali bado nilikuwa naipenda sana.
Subiri nikuitie mtaalamu Chief-Mkwawa
 
Simu zenye uwezo mdogo ndo huwa na matatizo kama hayo jitaidini kutafuta Simu zenye storage na Ram kubwa hautapata tatizo hilo
 
Jamn nahitaji fundi cm aliebobea kwenye maswala ya softwere na cm huawei g.610 imewashinda mafund wengi so nahitaji msaada wa haraka vilevile nina cm HTC inahitajika boots file mwenye uwezo tuchekiane kwa dsm namba Yang 0714 591693
 
Back
Top Bottom