HP Compaq ina tatizo la kutokuwaka na hai-display chochote

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
525
166
Pc yangu Hp compaq ina tatizo...

nikiwasha inawaka lakini screen inabaki black, nimejaribu kuconnect na external monitor labda kama tatizo ni screen ya pc lakini bado haikudisplay kitu...pia nmejaribu kuweka ram nyingne pia bado tatizo lipo vile vile...vivyo ivyo nkachange Hdd bado tatizo lipo.

Naombeni msaada wenu wadau.
 
Tupa mbali. Bei ya kutengeneza na bei ya used zitakaribiana saana.
Fikiria chukua hatua
 
Duh! Ulipotaja tu jina la pc yako HP Compaq nikajua tu tayari hiko ni kimieo. Hiyo computer yako itakuwa ni ya zamani sana na itakuwa na screen ya chogo. Niliwahi kuwa na computer ya HP compaq miaka kumi iliyopita. Na ilishakufa mpaka nimeshasahau. Yani hiyo ni ya kutia kwenye dust bin na kusepa zako. Hata ukimpelekea fundi ataishangaa. Kama vipi ipeleke Makumbusho... Hiyo computer itakuwa ni toleo la mwaka tisini na tano. So its okay for it to die... Rest in peace HP compaq...
 
Ni laptop mkuu chogo limetoka wapi sasa.
 
Pc yangu Hp compaq ina tatizo...

nikiwasha inawaka lakini screen inabaki black, nimejaribu kuconnect na external monitor labda kama tatizo ni screen ya pc lakini bado haikudisplay kitu...pia nmejaribu kuweka ram nyingne pia bado tatizo lipo vile vile...vivyo ivyo nkachange Hdd bado tatizo lipo.

Naombeni msaada wenu wadau.
Sio mtaalamu wa IT ila ni mtumiaji tu, wakati mwingine shida inaweza kuwa ni screen haina mawasiliano na kinachofanyika ni kubadilisha na kununua nyingine kama unadhani mashine bado ni mpya maana screen inaweza kufika mpaka kilo mbili maana hata mie iliwahi kufa kwa style hiyo nikabadilisha kioo ikawa inadunda (kama ni haijatumika yaani bado ni mpya mpya badili kioo lakini kama ni ya zamani dunduliza nunua nyingine toa hard drive inununulie kale kamkebe nadhani hakazidi 25,000 visha utumie kama external drive na kuuza vitu vingine kama spare parts)
 
Pc yangu Hp compaq ina tatizo...

nikiwasha inawaka lakini screen inabaki black, nimejaribu kuconnect na external monitor labda kama tatizo ni screen ya pc lakini bado haikudisplay kitu...pia nmejaribu kuweka ram nyingne pia bado tatizo lipo vile vile...vivyo ivyo nkachange Hdd bado tatizo lipo.

Naombeni msaada wenu wadau.

ACHA nikusaidie manake hao wote ni magumashi tu! Fundi ni fundi... Na hiyo kazi nimeifanya sana zamani...nashangaa vijana wa siku hizi hata dos cmd na cmd line shidaa! Nyambafu!
*****Its either LCD or LCD cable or Inverter imekufa.
read here>>>>Distinguishing between inverter problem and LCD cable problem - MacBook Core 2 Duo
Alternative >>>>>
 
Pc yangu Hp compaq ina tatizo...

nikiwasha inawaka lakini screen inabaki black, nimejaribu kuconnect na external monitor labda kama tatizo ni screen ya pc lakini bado haikudisplay kitu...pia nmejaribu kuweka ram nyingne pia bado tatizo lipo vile vile...vivyo ivyo nkachange Hdd bado tatizo lipo.

Naombeni msaada wenu wadau.
Hapo shida kwa namna ulivyoeleza itakua ni VGA cable ndio ina shida, kama utaminya minya hapo juu karibu na skrini huku ukigandamiza si ajajabu kuiona ikiwaka vizuri tu ila baada ya muda itakupa blue screen kuwa kuna tatizo then itazima, solusheni hapa ni kubadili VGA cable tu, used online unapata kwa TZS 35,000/- mpaka 60,000/-, mimi pia Hp yangu ilikua ina tatizo hilo
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom