Ushauri: Nataka kujiajiri kwenye programming

Php

Member
Nov 27, 2015
46
12
Habari za muda huu wadau wa JF.
Mim ni programmer, napenda kuprogram programs.

Naombeni ideas za title za project ambazo nikifanya implementation inaweza kunitoa kimaisha.
Ushauri wako ni muhimu sana kwangu.

Najua kuna watu wengi humu ambao hufanya kazi sehm tofauti tofauti hivyo wanakumbana na changamoto nyingi tofauti hususan katika mfumo ya utendaji kaz. (manually)

Kwa kunisaidia nipe hata scenario jinsi unavyofanya kazi manually.

Sina taalum ya uandishi, sorry kwa hilo ila nahisi nimeeleweka.
Natanguliza ahsante!

Karibu..
 
First volunteer work at a good institution without pay, then identify changamoto zao kikazi , design a system to solve their problems , kufikia hapo utakuwa na kazi then u can make similar programs to other institutes with similar problems thus u will have cash and be in demand nadhani I huu utakua ni msaada wa kimawazo.
 
Habari za muda huu wadau wa JF.
Mim ni programmer, napenda kuprogram programs.

Naombeni ideas za title za project ambazo nikifanya implementation inaweza kunitoa kimaisha.
Ushauri wako ni muhimu sana kwangu.

Najua kuna watu wengi humu ambao hufanya kazi sehm tofauti tofauti hivyo wanakumbana na changamoto nyingi tofauti hususan katika mfumo ya utendaji kaz. (manually)

Kwa kunisaidia nipe hata scenario jinsi unavyofanya kazi manually.

Sina taalum ya uandishi, sorry kwa hilo ila nahisi nimeeleweka.
Natanguliza ahsante!

Karibu..
Cha kwanza wewe ni programmer? Au ndo unataka kujifunza? Tuanzie hapo kwanza
 
Kama ni programmer I'm surprised unakosaje matatizo ya kusolve huku yamejaa, especially bongo ambayo bado haina competition kabisa.

My advice, look around angalia unaweza fanya nini kuwarahisishia watu maisha, then start from there, kama hujui mobile app na web development nakushauri uanze kujifunza hapo, kama unajua then u can make lots of apps ambazo zinaweza kukupa pesa nzuri sana.

U dont really have to find a new idea, angalia hata nje, apps ambazo wanazo ambazo bongo hakuna then make one uifanye local.
 
Wimbaji asie na uwezo wa kutunga nyimbo, programmer without talent, sina lugha nyepesi ya kusema kwani kabla ya ku code kuna talent fulani, solution kwa mtu asie na kipaji ni kufanya kazi kwa contact kwa wenye idea
 
Kama ni programmer I'm surprised unakosaje matatizo ya kusolve huku yamejaa, especially bongo ambayo bado haina competition kabisa.

My advice, look around angalia unaweza fanya nini kuwarahisishia watu maisha, then start from there, kama hujui mobile app na web development nakushauri uanze kujifunza hapo, kama unajua then u can make lots of apps ambazo zinaweza kukupa pesa nzuri sana.

U dont really have to find a new idea, angalia hata nje, apps ambazo wanazo ambazo bongo hakuna then make one uifanye local.
Asipofwata ushauri wako basi tena..
 
sio kosa lako ,unashindwa kutofautisha uandish wa story na implementation za algorithm
Jiunze kuandika smart, Acha kujitetea kwa vitu ambavyo sivyo.
Si sahihi kwa mru professional kuandia xaxa 4u n.k.
Be smart!
 
Habari za muda huu wadau wa JF.
Mim ni programmer, napenda kuprogram programs.

Naombeni ideas za title za project ambazo nikifanya implementation inaweza kunitoa kimaisha.
Ushauri wako ni muhimu sana kwangu.

Najua kuna watu wengi humu ambao hufanya kazi sehm tofauti tofauti hivyo wanakumbana na changamoto nyingi tofauti hususan katika mfumo ya utendaji kaz. (manually)

Kwa kunisaidia nipe hata scenario jinsi unavyofanya kazi manually.

Sina taalum ya uandishi, sorry kwa hilo ila nahisi nimeeleweka.
Natanguliza ahsante!

Karibu..

Tuwasiliane tukupatie projects za kufanya, ila uwe tayari kufanya kama Volunteer kwanza!
 
Kama ni programmer I'm surprised unakosaje matatizo ya kusolve huku yamejaa, especially bongo ambayo bado haina competition kabisa.

My advice, look around angalia unaweza fanya nini kuwarahisishia watu maisha, then start from there, kama hujui mobile app na web development nakushauri uanze kujifunza hapo, kama unajua then u can make lots of apps ambazo zinaweza kukupa pesa nzuri sana.

U dont really have to find a new idea, angalia hata nje, apps ambazo wanazo ambazo bongo hakuna then make one uifanye local.

Umemjibu vizuri sana, hapo hamna cha kuongeza. Ni vigumu kwa programmer (hapa naongelea programmer kabisa, sio vijana wa codes copy pasting) kukosa cha kufanya, wengi hata tunagomea projects kwa kukosa muda. Afrika yetu hii bado hatuna competition kwenye hii taaluma ya programming. Hapa kwetu Kenya miradi ipo kibao, halafu nikija huko Tanzania ndio hata huwa nashindwa pa kuanzia maana fursa huwa nyingi sana.

Atumie muda wake kuhakikisha anapata uzoefu wa kutosha halafu miradi itamfuata yenyewe.
 
Back
Top Bottom