Wajuzi wa hii Company(Work shop) Watujuze.

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
1,776
1,536
Wakuu hivi hii company ya TPS iliyoko Shekilango mkono wa kulia kama unaenda Big brother inahusika na nini?.

Mule ndani naona wamejaa baadhi ya wachina,sasa najiuliza hii compuny ni nani mmiliki wake,na je ni privet sector or ni ya Serikali?.

Ukitoka hili jengo la hii company zinafaata benk za CRDB,Exim,Umoja na benk nyinginezo.

Naomba nifahamishwe kwa anae ijua inahusika na nini zaidi?.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom