Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,683
Hey guys.
Leo nimeshangaa kukutana na 'BLOCK' kwenye watssap call. Jumapili ya wiki iliyopita nilitumia na ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa, ila leo nimeshngaa kuambiwa kwamba "Your mobile carrier doesn't support watssap calls" kama inavyoonekana kwenye attachment.
Google nimejifunza kwamba ni kitu ambacho kipo tayari, mitandao ya simu inajaribu kupambana na watssap kwasababu wanaona wanapoteza mapato somehow. Binafsi natumia mtandao wa Tigo, kwa maana hiyo wao wameshaanza kutubania watumiaji. Mnaotumia mitandao mingine vipi? Mnaweza kujaribu tujue kama wote wame-block au la?
Wi-fi ndo itakuwa mkombozi kwenye hili.