Nimepokea link ya Whatsapp inataka niwatumie watu 10, ni kitu gani hiki?

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,160
5,741
Salaam kwenu.

Nimepokea link toka kwa ndugu yangu kuhusiana na Whatsapp + then wanataka sjui uwatumie watu 10 n.k

Sasa kama kuna aliyejaribu na akafanikiwa tunaombe atupatie mrejesho tafadhali.

Natanguliza Shukran.

NAWASILISHA.


IMG_20160125_090505.jpg
 
ni uwongo, huyo ceo wao akitaka atamtumia kila mtu mwenyewe hana haja ya kumtuma mtu

So thanks mkuu Chief-Mkwawa nimepokea toka kwa watu kama wanne au watano hivi, nikaona niulize kwanza kwa wadau mkuu.

Na kwa kuwa pia niliomba kama kuna aliyejaribu akafanikiwa atupe mrejesho, hivyo kwa kukosa mrejesho hata mmoja hii inathibitisha kauli yako Chief-Mkwawa kuwa na nguvu, so thanks.
 
Back
Top Bottom